Maokoto Yapo Huku
Verified
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Maokoto Yapo Huku ni mwongozo kwa mtu ambaye ameanza kuona kwamba internet inaweza kuwa sehemu ya kujenga kipato, lakini bado hajapata mwelekeo sahihi wa kuanza.
Ndani ya kitabu hiki, utafunguliwa macho juu ya fursa mbalimbali zinazopatikana mtandaoni na vitu vya msingi vinavyoweza kukusaidia kuanza kuzitumia kwa manufaa yako.
Kwa lugha rahisi na maelezo yanayoeleweka, kitabu hiki kinakusaidia kubadili namna unavyoutazama ulimwengu wa kidijitali, kutoka sehemu ya kupoteza muda kwenda sehemu ya kujenga kipato, kujifunza mbinu, na kuchukua hatua zenye maana.
PS: Endapo umekutana na changamoto yoyote wakati wa kulipia ili apate eBook hii, tafadhali nitumie ujumbe ili nikupatie msaada zaidi. Nitafurahi kukusaidia ili upate eBook yako bila usumbufu wowote ule. Asante sana. 🙏
Call: 0754412647 | WhatsApp: 0712988589

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...