HABARIDUKA - Tanzanian Digital Marketplace
D

Dr. isaya Febu

1 product
All Products Articles Stories

Products

Articles

Article
Mambo Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Kutokwa Na Uchafu Ukeni.
Kutokwa na uchafu ukeni ni mchanganyiko wa majimaji, seli, na vijidudu ambavyo hulainisha na kulinda uke. Mchanganyiko huu hutolewa kila mara kupitia seli ndani ya uke na seviksi na hutolewa nje ya mwili wa mwanamke kupitia uwazi wa uke (vaginal opening). Uke hutoa aina mbalimbali za uchafu katika kujisafisha. Kutokwa na uchafu ukeni ni tukio la kawaida kabisa, japo kuna aina mbalimbali za uchafu ambazo zinaweza kuonyesha maambukizi. Uchafu usiokuwa wa kawaida unaweza kuwa wa kijani au njano na wenye harufu mbaya. Uchafu usio wa kawaida mara nyingi husababishwa na fangasi ama maambukizi ya bakteria (Pelvic Inflammatory Disease)...
Article
Fangasi Ukeni Husababishwa Na Nini?
Fangasi ukeni (vaginal yeast infection) husababishwa na kuongezeka kupita kiasi kwa fangasi aitwaye Candida albicans. Fangasi hawa kwa kawaida huishi ukeni bila kusababisha madhara (normal flora), lakini wanapoongezeka kupita kiasi, huleta maambukizi. Hali hii husababisha muwasho ukeni, kutokwa na uchafu mzito mweupe (kama jibini) ukeni, maumivu wakati wa kujamiiana au kukojoa, uwekundu na kuvimba maeneo ya uke...
Article
Fangasi Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.
Article
Yajue Mambo 6 Muhimu Kuhusu Kisukari Cha Ujauzito.
Kisukari cha ujauzito ni aina ya kisukari kinachojitokeza wakati wa ujauzito kwa wanawake ambao hawakuwa na kisukari kabla ya kupata ujauzito. Ugonjwa huu hujulikana kwa kitalaamu kama Gestational diabetes. Wataalamu wanaeleza kuwa ugonjwa huo unashika kasi duniani na kwamba wanawake wajawazito ambao huongezeka uzito kwa kasi katika miezi 3 ya mwanzo ya ujauzito (first trimester) wao wanakabiliwa na hatari zaidi ya kupata kisukari cha mimba...
Article
Ujue Uhusiano Kati Ya Rhesus Factor Na Ujauzito.
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa). Moja ya vipimo vinavyosisitizwa ni cha makundi ya damu na Rhesus factor. Kipimo hiki ni muhimu sana kwa sababu utofauti wake baina ya wenza unaweza kuathiri watoto watakaozaliwa na hivyo lengo la kuwa na muendelezo wa familia lisifikiwe hivyo kuzua migogoro baina ya wana ndoa, ndugu au watu wengine wa karibu mara nyingi ikihusianishwa ni uchawi...
Article
Kwanini Uke Unatoa Harufu Mbaya?