Product
Uwekezaji katika hisa,hatifungani na vipande
Kitabu hiki kinaelezea kwa lugha rahisi misingi ya uwekezaji katika hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji. Kitabu kinawasaidia wanaoanza kuelewa jinsi ya kujenga uchumi wako kupitia masoko ya fedha.
TZS 10,000