Jinsi ya kufungua account.Kama unatumia simu au laptop nenda kwenye browser yako (Chrome, Safari au nyingine tu)Type: https://duka.habaritechnology.com/Ikifunguka utakutana na page na namna hii...Kama una account utabonyeza sehemu ya login na kama huna utabonyeza sign Up.Tu assume hauna account then umebonyeza Sign Up...Fata hizi hatua ili kufungua account...Weka jina email kila kitu kama wanavyokuomba hapo...Ukimaliza utapelekwa kwenye ukurasa wa login ili ujiunge kupitia password yako...Baada ...
Hii ni Premium Article
Unatakiwa kulipia Tsh. 2,500 ili kuweza kusoma article yote.
Buy This Article
One-time purchase for permanent access
TZS 2,500
Monthly Subscription
Access all premium articles for 30 days