MWONGOZO WA KUCHAGUA UWEKEZAJI WENYE FAIDA KWENYE REAL ESTATE TANZANIA...Somo ambalo lilinibadilishia namna ninavyoangalia biashara ya Real EstateLeo sitaki kukupa list ya aina 15 za mali zinazoongoza kutengeneza faida kwenye Real Estate Tanzania.Nataka kukuonyesha somo ambalo mimi na timu yetu tumejifunza kupitia uzoefu wa zaidi ya miaka 9 kwenye biashara ya ardhi, majengo na uwekezaji.Mwanzoni nilipoanza kujifunza uwekezaji kwenye ardhi na majengo, nilikuwa naamini kwamba mafanikio kwenye Real…