MUONGOZO WA VYAKULA VYA KUPUNGUZA UZITO
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Lishe bora kwa mwili mwepesi na afya njema
Kijitabu hiki cha Afya Nono kimeandaliwa kwa ajili ya watu wanaotaka kupunguza uzito kwa njia sahihi ya kiafya, kupitia lishe iliyopangwa vizuri badala ya njia za mkato zisizo salama. Kinatoa mwongozo wa vitendo unaoweza kufuatwa nyumbani kila siku.
Yaliyomo:
1. Mfumo wa maisha na upunguzaji wa uzito – umuhimu wa mtindo bora wa maisha katika kudhibiti uzito
2. Malengo ya kilishe kwa mtu anayepunguza uzito
3. Vyakula vinavyoshauriwa – mafuta ya kiafya, mboga, nyama nyeupe, samaki, matunda, maziwa, mayai
4. Vyakula vya kuepuka – wanga, kafeini, sukari, vyakula vya tindikali kali
5. Ratiba kamili ya mlo wa wiki nzima (Jumatatu–Jumapili, milo 4 kwa siku)

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...