HABARIDUKA - Tanzanian Digital Marketplace
H

Habaritech

10 products
All Products Articles Stories

Products

Product
Live Football, F1, Motor GP Sports All Matches
TZS 5,000
Product
Vibe Coding MASTERCLASS
Vibe Coding Masterclass ni kozi ya kisasa inayokufundisha jinsi ya kujenga web apps, mobile apps, SaaS products, POS systems, CRMs, ERPs na business software nyingine kwa kutumia AI, hata kama hujawahi kuwa programmer. Utajifunza kufikiria kama Software Architect, kuandika requirements, kutengeneza database structures, ku-build systems salama, kufanya testing na ku-deploy applications hadi production.
TZS 150,000
Product
HISA Portfolio Tracker
Template rahisi ya kufuatilia uwekezaji wako wa hisa za DSE. Rekodi mauzo na manunuzi, fuatilia profit/loss, average cost na idadi ya hisa zako moja kwa moja ndani ya Excel au Google Sheets.
TZS 10,000
Product
NETFLIX ya MWAKA MMOJA
Hakuna tena haja ya Kulipia NETFLIX mwezi hadi mwezi kwa gharama kubwa. Hii utalipa mara moja na kuifurahia mwaka Mzima.
TZS 10,000
Product
Simu Yako ni Mshahara Wako. Tumia Whatsapp Kutengeneza Pesa
Jifunze jinsi ya kuanza kupata kipato ukitumia WhatsApp yako kwa njia rahisi na zinazofanya kazi. Mwongozo huu unakupa mbinu halisi, bidhaa zinazouza, na mfumo wa kila siku wa kuvutia wateja na kufanya mauzo.
TZS 15,000
Product
Kuagiza Bidhaa China
Jifunze jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka China kwa usalama, bei nafuu, na uhakika kupitia Alibaba. Mwongozo huu rahisi utakufundisha hatua kwa hatua kutoka kufungua akaunti hadi kupokea mzigo wako Tanzania bila kupoteza pesa.
TZS 5,000
Product
Uchambuzi wa Hisa Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE)
Jifunze namna ya kununua hisa na kukuza kipato chako cha uzeeni huku ukiendelea kujitafuta. Kitabu hiki cha "Uchanganuzi na Ununuzi wa Hisa" ni mwongozo wako makini unaokupa mbinu za kiuchambuzi za Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Pata maarifa ya jinsi ya kulinda thamani ya pesa yako dhidi ya mfumuko wa bei na kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji kwa vitendo.
TZS 10,000
Product
Habaritech: Magazine 2
Fahamu kuhusu utengenezaji wa pesa mtandaoni.
TZS 0

Articles

Stories