Jifunze Kutengeneza Aina Mbalimbali Za Juice Smoothies na Mocktails kwa Afya na Biashara.
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Katika dunia ya leo, biashara ya juisi za matunda inaongezeka kwa kasi, Juisi za matunda
ni bidhaa zinazovutia sana katika soko la afya na lishe. Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa
kutengeneza juisi za matunda, Smoothies na Mocktails kwa ajili ya biashara, hatua kwa hatua,
pamoja na faida zake za kiafya. Lengo ni kusaidia wajasiriamali kujifunza jinsi ya kuzalisha
juisi bora na za kuvutia. Tunatarajia kusaidia wajasiriamali katika kujenga biashara yenye
mafanikio.
Karibu.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...