Crypto Master Class

Crypto Master Class
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Crypto Masterclass - Kiswahili

Unataka kuingia kwenye dunia ya cryptocurrency lakini hujui wapi pa kuanzia? Au tayari umeanza lakini unataka kuelewa zaidi jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na kupata faida? Crypto Masterclass ni kozi ya kina inayokufundisha kila kitu kuanzia basics hadi kuwa PRO.

Ndani ya tutorials 6 za kina, utajifunza:
- basics za cryptocurrency na blockchain
- jinsi ya kununua, kuuza na kuhifadhi crypto
- mbinu za kuepuka utapeli na LOSSES
- jinsi ya kutengeneza kipato kupitia crypto (trading, staking, DeFi, NFTs)
- jukwaa bora za kupata ajira na gigs kwenye crypto
- mikakati ya muda mrefu ya uwekezaji

Nimekua kwenye cryptokwa miaka 6. Kama unataka kuwa mtaalamu wa crypto kama mimi basi hii masterclass ni yako.

gaby loves tech
cryptocurrency crypto masterclass

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

M

Madini ya Gaby eShop

Gaby loves Tech

View all books
TZS 10,000
-
Pages
Link
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this link & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like