Article
Hii ni Sababu ya Kwanini 1% ya wakamalia ni wataalamu wa data, ila 99% wanamchangia Muhindi
Hii ni mada ambayo inatikisa meza ya vinywaji vya Gharama sana. Ni mada ambayo moja kwa moja inagusa maisha ya vijana wengi Tanzania na Betting industry kwa ujumla.
Ushauri wa haraka na wa kawaida naweza kukupa ni kwamba "Siku zote kampuni lazima ishinde" (The House always wins). Na uhalisia ni kwamba kamali siku zote ni kodi kwa masikini. Ila ukiwa mchambuzi wa taarifa unayeangalia data zote, una nafasi kidogo ya kuweza kuifanya kamali kuwa sehemu mama ya kujipatia kipato.
Article
Hii Ndiyo Sababu Content Creators wa Afrika ni Masikini
Ni muda sasa uanze kufanya content zako kuwa biashara na sio chakula tu cha algorithm ili uzidi kufaidisha wenye platforms. Ukiwa na followers 10,000 alafu 1% yao tu wakanunua bidhaa yako ya TZS 10,000 tayari umetengeneza 1,000,000. Hakuna kusubiri brand fulani ikupe ruhusu ya kupost aina hiyo ya content wapa hela kupotea kwenye fee za foreign exchange.
Article
Kichaa cha 'Content Creation': Kwa Nini Ushawishi Wako wa TikTok ni Mtego wa Umasikini
Lakini nyuma ya hizo ring lights na video za ku-trend, kuna ukweli mchungu sana kiuchumi ambao hatuongelei: Asilimia 95 ya 'creators' wa Kitanzania wanafanya kazi ya bure, huku wakiendelea kuyatajirisha makampuni makubwa ya mitandao ya kijamii.