Content creators wengi wa Afrika hususani hapa Tanzania si kwamba hawana audience, si kwamba hawana talent na si kwamba hawajui kufanya content nzuri. Tatizo kubwa ni moja tu: Wanacheza game la Platform badala ya kucheza game la Biashara.Wengi wanaonekana wako vizuri mtandaoni, wana views wengi, wana likes nyingi, wana followers wengi, na wana engagement kubwa. Lakini uhalisia wa maisha yao ni tofauti kabisa. Creator anaweza kuwa na followers 500K, lakini bado anahangaika kulipa kodi ya chumba c...

Hii ni Premium Article

Unatakiwa kulipia Tsh. 2,500 ili kuweza kusoma article yote.

Buy This Article

One-time purchase for permanent access

TZS 2,500

Monthly Subscription

Access all premium articles for 30 days

TZS 3,000/month

Not logged in? Please login or register to purchase this article or subscribe.