JINSI YA KUJENGA PERSONAL BRAND YENYE NGUVU NA ISIYO SAHAULIKA

Personal brand siyo followers bali ni perception. Jifunze jinsi ya kujenga jina lako hadi watu waanze kukuamini, kukufuata na kununua kutoka kwako....