Dark Web: Ndani ya Giza na Siri Nzito
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Kuna mtu atakwambia sitaki biashara X kwasababu ina utapeli mwingi. Uhalisia ni kwamba Biashara nyingi zilizopo duniani sio Utapeli ila kuna utapeli ndani yake. Hivi ndivyo ilivyo dark web pia. Dark web sio mbaya ila kuna ubaya ndani yake.
Mara nyingi tukiongelea dark web tunadhani ni kitu kikubwa sana na unahitaji vitu vya kipekee kuweza ingia huko. Ni sahihi unahitaji kitu maalumu kama TOR ili uweze kuingia Dark Web ila haina maana kwamba ni mbaya wakati wote. Unajua hata email zako ni sehemu ya Dark Web? Basi kama huelewi ni vipi pakua hii eBook sasa hivi ili ujue email yako ni sehemu ya dark web kwa namna gani.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...