Latest Articles

Stay informed with expert insights, tips, and stories

7 articles found

Mambo Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Kutokwa Na Uchafu Ukeni. Health & Wellness

Mambo Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Kutokwa Na Uchafu Ukeni.

Kutokwa na uchafu ukeni ni mchanganyiko wa majimaji, seli, na vijidudu ambavyo hulainisha na kulinda uke. Mchanganyiko huu hutolewa kila mara kupitia ...

Fangasi Ukeni Husababishwa Na Nini? Health & Wellness

Fangasi Ukeni Husababishwa Na Nini?

Fangasi ukeni (vaginal yeast infection) husababishwa na kuongezeka kupita kiasi kwa fangasi aitwaye Candida albicans. Fangasi hawa kwa kawaida huishi ...

Health & Wellness

Fangasi Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.

Fangasi Kwa Mwanaume:Fangasi kwenye uume (fungal infections in men) ni maambukizi yanayosababishwa na fangasi wa aina mbalimbali, hasa Candida al...

Yajue Mambo 6 Muhimu Kuhusu Kisukari Cha Ujauzito. Health & Wellness

Yajue Mambo 6 Muhimu Kuhusu Kisukari Cha Ujauzito.

Kisukari cha ujauzito ni aina ya kisukari kinachojitokeza wakati wa ujauzito kwa wanawake ambao hawakuwa na kisukari kabla ya kupata ujauzito. Ugon...

Ujue Uhusiano Kati Ya Rhesus Factor Na Ujauzito. Health & Wellness

Ujue Uhusiano Kati Ya Rhesus Factor Na Ujauzito.

Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kuteng...

Kwanini Uke Unatoa Harufu Mbaya? Health & Wellness

Kwanini Uke Unatoa Harufu Mbaya?

Kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni:Kutoa harufu mbaya ukeni ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Uke kutoa ha...

Health & Wellness

Magonjwa ya zinaa (sexually transmitted diseases STDs)

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA KISONONO (GONORRHEA)Gonorrhea ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria aina ya gonococcus wajulikanao kama Neisseria gonorrhoeae...