BE YOUR OWN BOSS
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Je, umechoka kuishi mwisho wa mwezi na mfuko tupu?
Unahisi kazi yako inakula muda wako bila kukupa uhuru unaostahili?
Unataka kujua siri za watu wanaofanikiwa kifedha bila kuwa na bahati maalum?
Kitabu cha Be Your Own Boss kinafungua ukweli ambao haujawahi kuambiwa kuhusu pesa, mafanikio, na uhuru wa kifedha. Kimeandikwa na Mwanahisabati Arthur Geil, hiki si kitabu cha kawaida cha motisha, ni mfumo kamili wa kufikiri na kutenda utakaobadilisha mtazamo wako kuhusu maisha na pesa.
KITABU HIKI KITA KUFUNDISHA:
Kutoka kwenye "Slow Lane" – Acha kubadilisha muda wako kwa pesa na uanze kujenga mifumo inayokuletea kipato usingizi.
Assets vs Liabilities – Jua tofauti kati ya vitu vinavyokutajirisha na vinavyokufukuzia umaskini.
Saikolojia ya Pesa – Kwanini watu wawili wenye kipato kimoja wanaishia tofauti? Jifunze jinsi ya kudhibiti akili yako kuhusu pesa.
Nguvu ya Mawazo na Nidhamu – Jenga tabia za kila siku zitakazokupeleka mbali zaidi ya ndoto zako.
Uhuru wa Muda – Jinsi ya kuacha kuwa mtumwa wa saa na kuanza kuishi maisha unayostahili.
Skills za High Income – Jifunze ujuzi unaohitajika ili kujitafutia kipato kikubwa popote ulipo.
Kanuni za Pesa na Systems – Weka mifumo itakayofanya pesa ikufanyie kazi badala ya wewe kuifanyia kazi.
KWA NINI UNATAKIWA KUSOMA KITABU HIKI?
❌ Umechoka kuishi mshahara kwa mshahara?
❌ Unataka kujua jinsi ya kuanza na bila mtaji?
❌ Unatafuta njia ya kujitegemea na kuacha kutegemea ajira pekee?
❌ Unahisi una ndoto kubwa lakini hujui pa kuanzia?
KITABU HIKI NI JIBU LAKO!
KITABU HIKI KINAMFAA NANI?
✔ Kila mtu anayetaka kujijenga kifedha.
✔ Mfanyakazi anayetaka kuongeza vyanzo vya kipato.
✔ Mjasiriamali anayetaka kukuza biashara yake.
✔ Mtu yeyote anayetaka kuwa BOSS wa maisha yake mwenyewe.
USUBIRI NINI? ANZA KUIJENGA KESHO YAKO LEO!
Watu wengi wanangoja "siku itakapowadia" lakini wale wanaofanikiwa ndio wanaochukua hatua LEO. Kitabu hiki kina mwongozo wa hatua kwa hatua utakaokutoa kwenye dimbwi la umaskini na kukuweka kwenye njia ya uhuru wa kifedha.
PAKUA SASA NA UANZE KUBADILISHA MAISHA YAKO! Ni Free!

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...
You might also like
THE FREELANCE BLUEPRINT
TZS 9,500
TZS 20,000
JINSI YA KUJENGA NA KUMONETIZE PERSONAL BRAND YAKO MTANDAONI
TZS 15,000
TZS 30,000
MBELE YA MUDA - Jinsi Ya Kujibadilisha Kuwa Bora, Kujenga Akili, Nidhamu Na Mfumo Wa Maisha Unaokuweka Hatua Moja Mbele Kila Siku
TZS 19,000
TZS 25,000
MBELE YA MUDA - JINSI YA KUJIBADILISHA KUWA BORA
TZS 10,000
TZS 25,000