MBELE YA MUDA - Jinsi Ya Kujibadilisha Kuwa Bora, Kujenga Akili, Nidhamu Na Mfumo Wa Maisha Unaokuweka Hatua Moja Mbele Kila Siku
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
MBELE YA MUDA Ni mfumo wa kujibadilisha na kuyabadilisha maisha yako kuwa bora.
Jenga Akili Ambayo Watu Wengi Watakuja Kuielewa Baadaye.
Kuna watu wanafanya kazi kwa bidii kila siku, lakini maisha yao hayabadiliki.
Sio kwa sababu hawana akili.
Sio kwa sababu hawana uwezo.
Bali kwa sababu hawajawahi kufundishwa jinsi ya kuutengeneza upya mfumo wa kufikiri unaoendesha maisha yao.
Mbele Ya Muda sio kitabu cha motivation.
Ni mwongozo wa kisayansi na wa vitendo unaokusaidia kuelewa jinsi ubongo wako unavyounda tabia, maamuzi na matokeo ya maisha yako.
Ndani ya eBook hii utajifunza:
🧠 Jinsi ya kubadilisha mindset yako kwa kutumia kanuni za Growth Mindset na Neuroplasticity.
🎯 Jinsi ya kujenga focus ya hali ya juu kwenye dunia iliyojaa distractions.
⚡ Kwa nini motivation huwa inaisha, na jinsi ya kujenga mfumo wa discipline unaofanya kazi hata siku usipojisikia kufanya chochote.
🧩 Jinsi ya kubadilisha identity yako ili tabia nzuri ziwe sehemu ya maisha yako, si mapambano ya kila siku.
📵 Jinsi ya kushinda mtego wa dopamine, scrolling, kuahirisha mambo, na tabia zinazoua uwezo wako kimya kimya.
🚀 Mfumo wa siku 30 wa kuanza kujibadilisha hatua kwa hatua bila kujisukuma kupita kiasi.
📚 Mafunzo yaliyokusanywa kutoka kwa watafiti na waandishi wakubwa duniani kama James Clear, Carol Dweck, Charles Duhigg, Cal Newport, David Goggins, Stephen Covey na wengine wengi yakiwa yameandikwa kwa Kiswahili rahisi na kinachoeleweka.
Hiki si kitabu cha kusoma mara moja na kukisahau.
Ni kitabu ambacho utarudi kukisoma kila unapohitaji kujikumbusha wewe ni nani, unataka kuwa nani na unapaswa kufanya nini ili kufika huko.
Kama umechoka kuishi kwa mazoea...
Kama umechoka kuahirisha ndoto zako...
Kama umechoka kusubiri motivation...
Na kama umeamua kujenga maisha ambayo yatakuwa mbele ya muda...
Basi hii eBook imeandikwa kwa ajili yako.
Leo unaweza kuendelea na mfumo unaokupa matokeo yale yale... au unaweza kuchagua mfumo mpya unaoweza kubadilisha mwelekeo wa maisha yako.
Chaguo ni lako.
🔹 BONUS:
✓ Free Articles Kuhusu Mindest
Kwa Tsh 19,000 tu unaweza kuanza kubadilisha mfumo wa maisha yako.
Usiendelee kuona miaka inapita huku maisha yako yakibaki vile vile.
Bonyeza “BUY NOW” upate nakala yako ya MBELE YA MUDA leo.
👇👇👇
P-S/ NB. Kama kuna Umekutana na changamoto yoyote wakati wa kulipia ili apate eBook hii, tafadhali nitumie ujumbe (DM). Nitafurahi kukusaidia ili upate eBook yako bila usumbufu. Asante sana. 🙏
Contact MWANAHISABATI:
WhatsApp: +255719663268
Bonyeza “BUY NOW” upate nakala yako ya MBELE YA MUDA leo sasa hivi.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...