THE FREELANCE BLUEPRINT
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Watu wengi hutamani kuanza kazi za mtandaoni, hasa freelancing, lakini hawajui pa kuanzia.
Kila mtu hutoa ushauri wake: mmoja anakuelekeza ujifunze ujuzi kwanza, mwingine anakusisitiza uandae kwingineko ya kazi zako, na mwingine anakushauri ufungue akaunti na uanze kutafuta wateja mara moja. Baada ya muda, ushauri huu wote unaweza kugeuka kuwa kelele zinazochanganya fikra.
Ukweli ni kwamba freelancing huwa rahisi zaidi unapokuwa na njia iliyo wazi ya kufuata. Unahitaji kujua pa kuanzia, nini cha kuipa kipaumbele, na makosa gani ya kuepuka mapema.
Anza Kujiajiri na Kujiingizia Kipato Mtandaoni
Huu ndiyo mwanzo wako wa kuingia katika dunia ya kujiajiri mtandaoni na kuanza kujipatia kipato cha uhakika. Ndiyo maana nimekuandalia mwongozo unaogawanya safari ya freelancing katika hatua 10 zilizo wazi, kwa mtu anayeanza na anayetaka kufanya mambo kwa usahihi.
Unachopaswa kutarajia ni hiki:
Uwazi: Iwe unataka kuwa mwandishi, mbunifu wa picha, mtaalamu wa kompyuta, au kuuza ujuzi mwingine wowote, lengo ni kukusaidia uanze ukiwa na ufahamu mpana na bila kubahatisha.
Ufanisi: Mwongozo huu umeandaliwa kwa ajili ya watu wanaotaka kuanza safari hii kwa njia sahihi, bila kupoteza miezi mingi wakizunguka bila mwelekeo.
Hapa ndipo mahali sahihi pa kuanzia safari yako ya mafanikio.
Hii ni sehemu ya kuhakikisha kila mtu anapata nafasi ya kujifunza, kuanza, na kubadilisha maisha yake kupitia internet
Usikose!

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...
You might also like
JINSI YA KUJENGA NA KUMONETIZE PERSONAL BRAND YAKO MTANDAONI
TZS 15,000
TZS 30,000
BE YOUR OWN BOSS
TZS 7,000
TZS 15,000
MBELE YA MUDA - JINSI YA KUJIBADILISHA KUWA BORA
TZS 10,000
TZS 25,000
MBELE YA MUDA - Jinsi Ya Kujibadilisha Kuwa Bora, Kujenga Akili, Nidhamu Na Mfumo Wa Maisha Unaokuweka Hatua Moja Mbele Kila Siku
TZS 19,000
TZS 25,000